Tafuta Shule Bora
kwa Mtoto Wako

Tafuta shule, angalia matokeo ya NECTA, na apply mtandaoni — yote sehemu moja.

468+ Shule Zilizosajiliwa
25+ Maombi Yaliyowasilishwa
7,030+ Shule za NECTA Zinazochambuliwa

Matokeo ya Mitihani ya Taifa

Huduma za matokeo ya NECTA kwa wanafunzi na wazazi Tanzania nzima

📊

Angalia Rankings za Shule

Linganisha matokeo ya shule zote za NECTA — CSEE, ACSEE, na PSLE. Tafuta shule yoyote kwa jina au mkoa.

Bure
Angalia Sasa

Pata Matokeo Mapema

Jisajili kabla matokeo hayajatoka. Siku ya matokeo, tutakutumia moja kwa moja kupitia SMS.

Tsh 2,000
Oda Sasa
🎓

Chagua Shule Bora

AI yetu itakusaidia kuchagua shule bora kulingana na matokeo, bajeti, na eneo lako.

Tsh 10,000
Pata Ushauri
🎓

Mwanafunzi / Mzazi

Fungua akaunti na upate upatikanaji wa fomu za maombi, matokeo, na huduma zingine.

Fungua Akaunti
🏫

Shule / Taasisi

Sajili shule yako, simamia maombi ya wanafunzi, na utume SMS kwa wingi.

Sajili Shule

Hujui Shule Gani ya Kuchagua?

Baada ya matokeo, kuchagua shule ni uamuzi mgumu. Wataalamu wetu wanatumia data ya matokeo ya NECTA, eneo, bajeti, na mahitaji yako kutoa ushauri binafsi wa kuchagua shule bora kwa mtoto wako.

✓ Tsh 10,000 tu — Ushauri kamili wa kitaalamu