Tafuta Shule Bora
kwa Mtoto Wako

Angalia matokeo ya NECTA, linganisha shule, na pata ushauri wa kitaalamu wa kuchagua shule bora Tanzania.

Matokeo ya Mitihani ya Taifa

Huduma za matokeo ya NECTA kwa wanafunzi na wazazi Tanzania nzima

Pata Matokeo Mapema

Jisajili kabla matokeo hayajatoka. Siku ya matokeo, tutakutumia moja kwa moja kupitia SMS au WhatsApp — huna haja ya kusubiri mtandao wa NECTA.

Tsh 2,000 – 3,000
Jisajili Sasa
🔍

Angalia Matokeo

Weka nambari yako ya mtihani uone kama umefaulu — bure! Lipa Tsh 2,000 tu kuona matokeo kamili ya kila somo.

Bure kuangalia • Tsh 2,000 matokeo kamili
Angalia Sasa
🎓

Chagua Shule Bora

Hatujui shule gani ya kuchagua? Wataalamu wetu watakusaidia kuchagua shule bora kulingana na matokeo, bajeti, na eneo lako.

Tsh 10,000 — Ushauri binafsi
Pata Ushauri

Create Students/Guardian Account

Instant access to your own profile giving you access to our resources.

Create School Accounts

Academic Institutions profile for Bulk sms access and Application forms.

Hujui Shule Gani ya Kuchagua?

Baada ya matokeo, kuchagua shule ni uamuzi mgumu. Wataalamu wetu wanatumia data ya matokeo ya NECTA, eneo, bajeti, na mahitaji yako kutoa ushauri binafsi wa kuchagua shule bora kwa mtoto wako.

✓ Tsh 10,000 tu — Ushauri kamili wa kitaalamu