Kuhusu ShuleValley

Tunasaidia familia za Tanzania kupata shule bora kwa urahisi na kwa uhakika.

Maono Yetu

Kuwa jukwaa kuu la elimu Afrika Mashariki ambapo kila mzazi na mwanafunzi anaweza kupata taarifa sahihi za shule, matokeo ya mitihani, na kuomba nafasi kwa urahisi kupitia simu au kompyuta.

Dhamira Yetu

Kuharakisha ujumuishaji wa teknolojia katika sekta ya elimu Tanzania. Tunafanya hivyo kwa kuunganisha shule, wazazi, na wanafunzi kwenye jukwaa moja la kisasa na rahisi kutumia.

Tunachokitoa

Tafuta Shule

Pata shule zaidi ya 6,500 kote Tanzania. Chuja kwa mkoa, kiwango, aina, na zaidi.

Tafuta Sasa

Matokeo ya NECTA

Angalia matokeo ya CSEE, ACSEE, na PSLE. Linganisha shule kwa GPA na pass rate.

Angalia Matokeo

Omba Mtandaoni

Omba nafasi ya shule, lipa ada ya fomu, na fuatilia maombi yako yote sehemu moja.

Jisajili

6,500+

Shule Zilizosajiliwa

26

Mikoa Yote

3

Mitihani (CSEE, ACSEE, PSLE)

Je, una shule? Sajili leo!

Fikia maelfu ya wazazi na wanafunzi wanaotafuta shule bora Tanzania.

Sajili Shule Yako

Wasiliana Nasi

shulevalley@gmail.com
+255 762 964 364 / +255 685 261 538