Weka index number yako ya Form Six, uone kozi za chuo kikuu unazo-qualify kwa mujibu wa TCU Guidebook rasmi — kisha upate ushauri wa kozi bora ZAIDI kwa matokeo yako, bajeti yako na soko la ajira.
Data rasmi ya TCU Guidebook 2026/27 · Ripoti mtandaoni + PDF + SMS · Lipa kwa M-Pesa
Weka namba yako ya mtihani wa Form Six (ACSEE). Tutavuta matokeo yako halisi.
Chagua fani hadi 3 zinazokuvutia zaidi.
Ukichagua kozi ambayo sifa zako hazikidhi, TCU watakukataa — unakosa chuo mwaka huu. Ukifuata mkumbo wa marafiki, unaweza kujikuta miaka mitatu unasoma kitu usichokipenda. Na ukikosea kabisa? Ada ya mamilioni imepotea.
TCU Guidebook ina kurasa zaidi ya 400 za vigezo vya kila kozi. Hakuna mtu anayeisoma yote. Sisi tumeisoma kwa niaba yako.
Orodha ya kozi ZOTE unazo-qualify, kwa mujibu wa TCU Guidebook — hakuna kubahatisha
Kozi bora KWAKO — zimechambuliwa kwa matokeo yako, malengo yako na bajeti yako
Ada, muda wa kozi, mkopo wa HESLB na mwelekeo wa soko la ajira kwa kila fani
Ripoti mtandaoni + PDF ya kupakua + muhtasari kwa SMS
Matokeo tayari unayo. Sasa fanya maamuzi sahihi.
Anza Bure — Angalia Kozi Zako ↑