book

Fungate Ya Uhuru

Author : Muhammed Seif Khatib

TZS 4000

Fungate ya Uhuru ni diwani inayojadili kwa mapana sana juu ya matatizo mbalimbali yanayokwamisha ujenzi wa jamii mpya hapa Tanzania.Matatizo hayo ni kama vile usaliti,unafiki,wizi,hujuma,udanganyifu,rushwa pamoja na uongozi mbaya. DHAMIRA KUU: UJENZI WA JAMII MPYA.