book

Jikumbushe kiswahili kidato 2

Author : Eliupendo mbise & leonard mbikilwa

TZS 7000

Kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 570 toka mitihani ya taifa ya kidato cha pili toka mwaka 2003 hadi 2018 na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa. Kamusi ya maneno muhimu yanayojitokeza katika somo la kiswahili kidato cha kwanza na cha pili.