St. Anne Marie Academy secondary logo

St. Anne Marie Academy secondary

About School

Shule ya St. Anne Marie Academy Ni shule ya Bweni na Kutwa inapatikana Maeneo ya Mbezi Kimara - Kwa Msuguri. Shule ya St. Anne Marie Academy inatoa Elimu kuanzia Shule ya Awali ( Nursery School ), Shule ya Msingi ( Primary School) na shule ya Sekondari kuanzia Kidato Cha Kwanza Hadi Kidato Cha Sita. Shule ya St. Anne Marie Academy ina Mazingira Mazuri na Rafiki kwa Mwanafunzi ina Maktaba Kubwa yenye Vitabu vya Kutosha, Maabara za Kisasa, Walimu wenye Taalumu nzuri na wa Kutosha, Maji ya Kutosha, Chakula kizuri na Magereta ya kutoa Umeme kwa Dharura.

School Virtual Tour

Location
Dar es Salaam

Type
Private

Gender
Both

Boarding / Day
Boarding

Application

Application For : Form 1.

Application Fees : TZS 20,000.

Available Extra Classes

ICS,

NECTA Results

Loading results...

Tukusaidie kuchagua shule ya mtoto wako

Pata mapendekezo ya shule kulingana na matokeo, bajeti, na eneo lako. Huduma ya AI ya ShuleValley inakusaidia kuchagua shule bora kwa TSh 10,000 tu.

Reviews

No reviews yet. Be the first!

No reviews yet for this school.

Awards

No Awards Available

Books we Recommend

No Book Available

Announcements

No Available Announcements