Shule ya St. Anne Marie Academy Ni shule ya Bweni na Kutwa inapatikana Maeneo ya Mbezi Kimara - Kwa Msuguri. Shule ya St. Anne Marie Academy inatoa Elimu kuanzia Shule ya Awali ( Nursery School ), Shule ya Msingi ( Primary School) na shule ya Sekondari kuanzia Kidato Cha Kwanza Hadi Kidato Cha Sita. Shule ya St. Anne Marie Academy ina Mazingira Mazuri na Rafiki kwa Mwanafunzi ina Maktaba Kubwa yenye Vitabu vya Kutosha, Maabara za Kisasa, Walimu wenye Taalumu nzuri na wa Kutosha, Maji ya Kutosha, Chakula kizuri na Magereta ya kutoa Umeme kwa Dharura.
Location
Dar es Salaam
Type
Private
Gender
Both
Boarding / Day
Both
ICS,
Best performing primary school PSLE 2017
Best performing primary school PSLE 2016
3rd Best school in Social studies
Best performing primary school PSLE 2019
2017
2016
2019
2019
No Book Available
No Available Announcments